Fumbo la uumbaji, roho na mwili uozao

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
299,612
752,040
24575881fce9c0dd11f5e768a5ee0a3c.jpg

051a43e2aa8851601a4647efc813098c.jpg

Najadili kwa muktadha wa kiimani,

Kwanza kabisa nafikiri hakuna mahali popote kwenye Misahafu ya kidini palipotaja ni udongo gani ulitumika kumuumba kiumbe mwanadamu, kwamba ulikuwa mfinyanzi au upi, vile vile ni kwanini mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu na wanyama ikatamkwa tu na wakatokea lakini wote wana mifupa nyama na damu.

Lakini vile vile kwenye uumbaji huo wa kutumia udongo je hakuna malighafi nyingine ambayo ilitumika kwenye uumbaji? Kwa mfano vitu kama nywele kucha meno nk nk....Uumbaji una siri kubwa..hili litahitaji muda wake tofauti.

Roho ambayo ndio uhai ndio uzima ndio pumzi ni kitu kisichoonekana kwa macho wala hata kwa darubini kali , ni nishati yenye nguvu ya aina yake..na kamwe roho haifi
Mwili bila hiyo nishati roho si chochote na kamwe haukawii kuoza na kuharibika kabisa.

Roho hii ndio uhai wa kila kitu duniani, yaani kuanzia mimea wanyama wadudu na hata vitu vya kutengenezwa na binadamu kama meli madege makubwa kabisa yanayoelea angani magari mitambo na kila kitu cha kushangaza na kustaajabisha.

Hakuna ithibati hata ya kisayansi inayotoa nguvu ya mtambo wowote uweze kufanya kazi sana sana utapewa formula za umeme mfumo wa mafuta mpangilio wa vyuma nk nk lakini mwishowe ile nguvu inayofanya mtambo uweze kunguruma...fumbo liko hapa.

Pumzi ile aliyopuliziwa mwanadamu na kuwa hai ndio pumzi hiyo inayofanya kazi duniani kote na kwenye kila kitu hata ukute mtambo au mashine gani ambayo ni full automatic haikosi mkono wa mwanadamu na hii ndio pumzi husika ya uhai

48c8fb9978531de44943a5869851dfe3.jpg

444e70a1ca05c4af0d4a5eed738e4635.jpg

Tofauti iko hapa mwili hufikia tamati yake baada ya mchakato mrefu lakini kitu cha kutengeneza hubaki kilipo na kama haitatokea nguvu ya kukisogeza kitabaki hapo kikiendelea kufa taratibu hata kife kabisa na kuingia kwenye mzunguko mwingine maisha na uumbaji bila kujali tutapata ukweli kiasi gani kuhusu fumbo la uumbaji roho na mwili uharibikao.

Tuitunze na kuisoma roho zaidi kuliko mwili kwa kuwa ni kutoka katika roho ndio uhai wa kila kitu kilichopo juu ya uso wa dunia hutoka humo.

d14072eb608d76331833f4da6dca16e9.jpg
 
Nasubiri kusoma maoni ya wasioamini uwepo wa MUNGU.bila shaka wanakusanya data za kutosha ili waje nazo kuharibu mada.
 
Nafikiri Roho ina uwezo wa kusafiri sehemu tofauti...pia ina kumbukumbu ya yaliyopita kabla ya kuzaliwa mwili....na kuchuja yajayo....
 
Back
Top Bottom