Fumanizi

Anhaaa kumbe wampenda kiivyo maana mapigo ya moyo yalikua ya shaanza kudundia kwenye kisigino hahahahah

Hahah piga ua ndo nshafika kwako, wakuntoa sijaona bado... afu haka kawikend itabidi tuone kanaishaje
 
Umeongea kitu cha busara sana wewe mwanamke, natamani ungekuwa mke wangu
 
Hahahahaha dollareee utarudi home huku watembelea kidevu shauri yako
ah wallet tena ata sio ya kuuliza.... hapa natembea na dollare tu, fanya jitihada uzimalize mamaa!!! sitaki kurudi nazo hizi
 
Wengine ni waandishi wanafanya tu maigizo kuuza magazeti yao...
 
Haaaaaaa utamfanyaje?
Alafu niwe mchepuko wako una hela wewe mzee au unaleta mbwembwe hapa kaa gauni la harusi
Poa sitaua ila nguvu za kiumeni itabakia historia kwake!!

Karibu uwe mchepuko wangu rasmi.
 
Haaaaaaa utamfanyaje?
Alafu niwe mchepuko wako una hela wewe mzee au unaleta mbwembwe hapa kaa gauni la harusi
Bahati inakufuata we unaichezea. Shauri zako. miss neddy atakupiku muda si mrefu. Utajuta, utalia na kusaga meno.
 
Last edited by a moderator:

kwenda kumfumania mtu ni ujinga.ili iweje? ili watu wajue unampenda? utafikiri wew wa kwanza kupenda. mleta uzi baeleze ukweli
 

Ila huogopi mchepuko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…