Fumanizi takatifu!

Halafu baada ya hapo kinafata kikao cha usuluhishi na anamsamehe mkewe au mwanamke anafungasha tu na kuondoka?
Muda huo anaowadhalilisha hivyo anakuwa amewafunga kamba anawaburuza au wanatembea kwa miguu yao? Hivi mtu akifumaniwa na akili yake inasimama kufanya kazi?

Ningekuwa mshauri wa ndoa nahisi ndoa nyingi sana zingevunjika!!!

asa kama akishtukizwa na kukamatwa na mibaunsa iliyokodiwa na mwenye mali kabla ya kuvaa nguo ataponyokaje? wewe unasema nini ndugu yangu? subiri yakukute ndipo utaelewa vzr.
 
Mwizi ni mwizi tu, hata kama anaiba mkeo pia mwizi tu. Anatakiwa achomwe moto kama vibaka wengine huko mabarabarani hizi adhabu bado ndogo. Yaani nigharamie mimi kumpendezesha, mahari nitoe mimi, Kulisha nilishe mimi, Kuvalisha mimi alafu wewe uje utumbukize mdude wako uniachie ukimwi wako na usababishe watoto wangu wote wakose malezi ya baba na mama. EBO!!!!! Sijaoa ila nikija sikia naibiwa, aisee naenda gelani ya petroli guest.

kuua ni dhambi mkuu. kusamehe ndio 'mpango mzima'
 
nikimfumania mtu na mke wangu namkodishia mabaunsa wamfumue marinda huku nikichukua tukio zima kwa picha za mnato na video. baada ya hapo hizo picha nazisafisha na kuzipeleka kwa mkewe, Baba na mama yake, kaka na dada zake, marafiki zake na bila kusahau Boss wake...

Haitabadilisha ukweli kuwa nimet*mbewa ila kidogo itanipunguzia machungu, na huyo mwanamke natupa kule!!!

hutakiwi kulipiza kisasi mkuu--utakuwa haumuenzi Madiba kwa vitendo.
 
Ukute analiwa na drava boda boda au mzaa mkaa, mwingira anadaiwa mamilioni sababu anayo je mchoma mkaa mamilioni atayatoa wapi
akiliwa wangu nitachukua hatua za kisheria, ikiwamo kudai fidia ya mamilioni kama anayodaiwa nabii mwingira.
 
Mwizi ni mwizi tu, hata kama anaiba mkeo pia mwizi tu

kwani huyo mkeo anakuwa amebakwa au ametoa kwa hiyari yake? so hakuna haja ya kumwadhibu mwanaume, mwanamke akikataa hawezi kumegwa, tena wengine wanatongoza wanaume wanaowapenda kulko waume zao!
 
Ukute analiwa na drava boda boda au mzaa mkaa, mwingira anadaiwa mamilioni sababu anayo je mchoma mkaa mamilioni atayatoa wapi

kama hana pesa akanyee debe tu--lakini si kumdhalilisha hadharani.
 
kwani huyo mkeo anakuwa amebakwa au ametoa kwa hiyari yake? so hakuna haja ya kumwadhibu mwanaume, mwanamke akikataa hawezi kumegwa, tena wengine wanatongoza wanaume wanaowapenda kulko waume zao!

umeona eeh? hapo sasa!
 
Kutembezwa uchi ni muhimu kwa kuleta heshima ndani ya nyumba, ila naona adhabu haitoshi.
 
Wadau, ngoja niwahi kwanza kuishangilia Taifa Stars. Nikirudi nakuja kuwatundikia picha. Baadae.
 
asa kama akishtukizwa na kukamatwa na mibaunsa iliyokodiwa na mwenye mali kabla ya kuvaa nguo ataponyokaje? wewe unasema nini ndugu yangu? subiri yakukute ndipo utaelewa vzr.

Hivi ni lazima kila mtu yamkute?
 
Habari zeinyu wadau wa MMU?

Natumaini mu buheri wa afya, hasa baada ya pilika za hapa na pale za maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika.

Siku hizi umeibuka mtindo ambao mume akimfumania mkewe 'akicheza gemu' na mume mamluki, huchukua hatua ya huwaadhibu watuhumiwa wote wawili kwa kuwatembeza mitaani wakiwa uchi wa mnyama!

Siku chache zilizopita jamaa mmoja alimfumania mkewe akimegwa na njemba fulani mitaa ya kati. Badala ya kuwachukulia hatua za kisheria/kinidhamu, akaamua kuwakomoa kwa kuwatembeza uchi mitaani huku raia wakishuhudia.

Hivi kweli adhabu za namna hii zinazingatia utu na haki za binadamu? Wadau mnazungumziaje unyama huu?

Picha nitatupia baadae.

Adhabu stahili ni kuwala tigo kisha unawatembeza hadharani watu waone wanavyo vuja nyuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom