Huyo dada wa kichaga mbona kainamisha simu/kamera yake chini sana anatafuta nini huko chini?

Kwani wanapokumegea wanakuwa na utu?
Huyo dada wa kichaga mbona kainamisha simu/kamera yake chini sana anatafuta nini huko chini?
Habari zeinyu wadau wa MMU?
Natumaini mu buheri wa afya, hasa baada ya pilika za hapa na pale za maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika.
Siku hizi umeibuka mtindo ambao mume akimfumania mkewe 'akicheza gemu' na mume mamluki, huchukua hatua ya huwaadhibu watuhumiwa wote wawili kwa kuwatembeza mitaani wakiwa uchi wa mnyama!
Siku chache zilizopita jamaa mmoja alimfumania mkewe akimegwa na njemba fulani mitaa ya kati. Badala ya kuwachukulia hatua za kisheria/kinidhamu, akaamua kuwakomoa kwa kuwatembeza uchi mitaani huku raia wakishuhudia.
Hivi kweli adhabu za namna hii zinazingatia utu na haki za binadamu? Wadau mnazungumziaje unyama huu?
Picha nitatupia baadae.