Fumanizi nyingine jamani mbaya sana

Fumanizi nyingine jamani mbaya sana

mkuu hii habari nimeshawahi kuiona GPL miezi ya nyuma...to me naiona kama ni habari ya kupikwa ili kuuza gazeti..ni mara nuingi hawa jamaa hutumia picha zisizohusiana na matukio husika...
 
mke wa mtu ni SUMU,ya ya ya yaaa:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:,mke anauma nyie tuache utani
 
USHAMBA mzigo mzito sana , Asa unakata mkono, Mkono umekosea Nini, mkono una Kazi ya kutupia tonge kinywani, haunanihii .. Cha msingi unajeruhi nanihii yenyewe Na unamwachia free .. Akipata Mke Wa Mtu tuOne atadumbikiza Nini .. Mie adhabu
Zangu simpo kabisa, mrukia vya watU anameguliwa nanihii..Yaani kifanyio Chake, mnamwachia freeeeee, mkimkamata mwizi hapana kumpiga fimbo, kwanini kumuua?!! Haifai kabisa kumuua, mnapasha chuma Moto Mkali, mnagusisha macho tu Basi .. Mnamwachia akaibe Kwa kupapasa..
 
Jamii ya watu wasiostaarabika bwana...saa nyongime unaafikiria watoto wako uwafiche wapi wasione haya inashindikana.Si ni nani halituroga?...hata wanyama wanatuzidi...mtu kama ukipata upenyo wa kukimbia nchi ni bora...waliotuita washenzi hawakukosea...
 
safi sana na iwefundisho kwa wanaume wote wenye tabia za kufaidi mali za watu sawasawa
 
Back
Top Bottom