Mhh! Babu mwenyewe babu ki-maukwelikweli ati! Hakuweza kustahimili hata saa 3 usiku ifike kashazimika! Nilitamani niendelee kumsikiza but kamuacha sweetlady hewani. BTW Babu ukiona vituko vya wajukuu mezea bhana! Ila nakwambia that smile was yours!!
Akhuuu babu weeh, usinizeeshe! Nna ukubwa gani hadi unipe shkamoo yote hiyo! Koma!
Ndugu yangu Kipipi, enzi zetu na hizi zenu ni tofauti...Sisi tulikuwa na mambo yetu ambayo yalikuwa wanatupa mwanga kama kweli tuko kwenye njia sahihi....nyie haya ya kwenu ni ngumu sana hata kuyajua....
Tuko kwenye levels tofauti na dawa yake ni kuwa mtazamaji!!
Babu DC!!
Ila we babu hapo ulikuwa umezimikiwa wewe tu na uliwahi kuondoka kuepuka kajukuu kasikufumanie kiaina kasijeenda kumsimulia bibi likawa bonge la soo na noma kilo kumi! And probably ka-smile kalikulegeza ukaona ujiendee tu mwayego! Lol
ungemuacha dogo asalimiane na sista du wawatu hata dk 2
umeona mbali sana KipipiIla we babu hapo ulikuwa umezimikiwa wewe tu na uliwahi kuondoka kuepuka kajukuu kasikufumanie kiaina kasijeenda kumsimulia bibi likawa bonge la soo na noma kilo kumi! And probably ka-smile kalikulegeza ukaona ujiendee tu mwayego! Lol
mpeleke eneo la tukio kesho mkienda kumuona boss akalione againKwani wewe hujaliona au ulitakaje?
Babu DC!!