Fumanizi La MWAKA

Fumanizi La MWAKA

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092



Fumanizi hilo lilibuliwa ambapo Judith Lekule na mume wa mwanamke aliyetambuliwa kwa jina moja la Pendo walinaswa chumbani wakiivunja amri ya sita ya muumba.



MAPYAA NI HAYA
Kwa mujibu wa vyanzo, Judith yu mbioni kwenda kortini kwa lengo la kumfungulia mashitaka Pendo akidai alimdhalilisha kwa kudai alimfumania akiwa na mumewe.


“Kuna watu wanamshawishi Judith eti asikae kimya, aende mahakamani akamshitaki Pendo kwamba alimdhalilisha kusema alimfumania na mumewe,” kilisema chanzo hicho.


Hata hivyo, vyanzo vimeeleza kwamba, Judith anashindwa kuutumia ushauri huo kutokana na ukweli kwamba, kesi hiyo inaweza kumgeukia mwenyewe kwa sababu yeye ndiye aliyefumaniwa.


Sambamba na madai hayo, inasemekana pia kwamba mtaani anapoishi Judith kumekuwa kuchungu kwake baada ya baadhi ya watu kutumia habari ya kwenye gazeti kumkejeli na kumuonya akome kuwadandia waume za watu kwani si tabia nzuri.


“Hali hiyo ya kunyooshewa vidole na watu inamnyima raha Judith, anashindwa kutembea kwa uhuru mitaani,” alisema mnyetishaji wetu.


Nao baadhi ya marafiki wa kike wa Judhith wamehuzunishwa na kitendo cha mwenzao kufumaniwa na kupewa kipigo.


Chanzo kikaenda mbele zaidi kwa kudai kwamba, ndugu wamemtaka Judith aondoke anapoishi kufuatia kitendo alichokifanya ikielezwa ameitia aibu familia.


Kwa upande wake, Pendo ameeleza kwamba mumewe alimuomba msamaha na amemsamehe, yameisha pia akasema baada ya lile fumanizi, Judith amemfuata nyumbani kwake mara mbili kwa lengo la kuomba msamaha.


“Nimemsamehe Judith lakini bado ana wasiwasi kwani amekuwa akija kwangu na hofu kwamba nitamshitaki katika vyombo vya sheria.

“Cha ajabu sasa amegeuka na kutoa vitisho, Judith ni rafiki yangu, anajua alichokifanya ndiyo maana hata wapambe wake wanamshawishi akanishitaki lakini moyo wake unakuwa mgumu,” alisema Pendo.




 
Sasa mbona Mbuzi Mzee, alikua hajachojoa hata shati wakati mzazi mwenzie yuko full network?
 
Mwanaume hapo hayupo imekuwaje? Daha mwanamke limempata hili!! Halafu lina minyama uzembe na wala si lizuri sijui huyu mume wa pendo alivutiwa na nini? Kweli kila mwanaume ana kinachompa uchizi!! Hapa mimi chaji haikamati kabisa.
 
Kweli za mwizi 40, baada ya mipango mingi,'tangulia itakukuta', intelijensia na maandalizi ya chini kwa chini ... kidume akaishia mikononi mwa kamera? Duh, kweli MUNGU mkubwa! Mbona jibaba walishindwa kulikamata tuone ndevu zinavyocheza?
 
Hivi nafasi ya kupiga hizo picha ilipatikana vipi?
Au ni maigizo?
 
Hivi nafasi ya kupiga hizo picha ilipatikana vipi?
Au ni maigizo?

Mkuu Ndibalema ciku hizi ukija kufumaniwa watu wanakuja full nondo.. Yaani hakuna maigizo wala acting hapo.. Utapigwa picha mnato na mpaka picha za video.. Mradi tu udhalilishwe to the maximum..
 
Hivi nafasi ya kupiga hizo picha ilipatikana vipi?
Au ni maigizo?

Unajua kitu kinachofanyika Mkuu Ndibalemani kwamba haya mafumanizi mara nyingi ni mipango ya muda mrefu la yenye lengo ya kumdhalilisha mmoja wapo wa wafumaniwa na wengi wa wapiga picha hizi wanapewaga kama dili na wao huwenda kuziuza kwenye magazeti pendwa na kujipatia kipato.
Mara nyingi hizi unakuta ni fumani za mahawara ambao wametemwa na wanalengo la kuwadhalilisha waliowatema na huwa hazina lengo la kusema kwamba unamfumania na mnarudiana naye bali ni swala la kudhalilisha ili akirudi kwenye vijiwe vyao vya uswahili alikopewa hili dili anajiona ni shujaa.
Mafumanizi kama haya huwa ya wanawake kwenda kuwafukania wanaume waliowatema na unakuta wanawake wamekaa wanapiga umbea wanamfundisha mwenzao jinsi ya kufanya ili kumdhalilisha huyo mwanaume wanajiandaa na vibwebwe vya kwenda kushangilia pamoja na wapiga picha na baada ya hapo wanaweza kubandika hizi picha mitaani au kuweka kwenye vijarida hivyo
 
Last edited by a moderator:
Kule mitaa ya Pwani, eti kufumaniwa ni suna (rejea kauli ya marehemu Mh. U.D.Mzuzuri, may his soul rip).
Kwahiyo issue kama hizi ndo sehemu ya maisha.
 
Kwenye post kama hizi, jinsia ya akina Preta huwa hawachangii, sijui na wao ni wadau ila 40 zao hazijafika?
 
Back
Top Bottom