FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

1632042301935.png
 
Kwa hali ilivyo mpaka sasa wafanyabiashara ndogondogo nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa ni wengi kuliko mashabiki wa Simba.
 
Leo ni kilele cha ile siku pendwa ya Simba day ambapo inafanyika kwa mara ya 13 mfululizo.
Tupo hapa kukuletea matukio yote muhimu toka Benjamin Mkapa national stadium.
Ungana nasi wanasimba wa Jf kusherekea pamoja nami nawaleta OKW BOBAN SUNZU Mightier FORTALEZA
Na wengine wataungana baadae kidogo

Shughuli zilizopo
Burudani ya muziki
Mechi za utangulizi toka Simba queen na Simba u20

Utambulisho wa wachezaji

Simba vs Tp englaB mazembe

Ungana nasi
Leo ntakuwa bize hapa uwanjani hivyo naamini utatuwakilisha vyema hapa jukwaani
 
Huyo anafaa sana kwenye hamasa labda, ila afisa habari hafai, labda kama atabadilika akipewa hiyo nafasi, asiwe na mfululizo wa vijembe kuliko kuwasilisha content kwenye pres zake na waandishi.
 
Wadau kwani mechi itakua saa ngapi?
Mechii! Bonanza? Limeshaanza tayari. Wahi uwanjani au washa tv uwaangalie mbumbumbu wenzako wanavyo ruka ruka na kukanyagana.

Mechi iko jioni kati ya Wananchi wa Tanzania dhidi ya Boko Haram wa Nigeria.
 
Back
Top Bottom