Full Time |NBC PL| KMC 1-2 Simba SC | KMC Complex, Mwenge | 16:00

Simba akiongoza kama dakika zilizochezwa ni zaidi ya 90 basi refa atamaliza mpira ila kama bila bila au kafungwa basi mtanange utaenda hadi simba iongoze hata dakika zaidi ya 280.
Simba akiongoza GSM B. Hawapotezi muda kama wakiwa sare au ikiwa Simba imetanguliwa. Game ya mashujaa kipa mpaka anaingia zishapotea 10min. Ulitaka ziongezwe tatu?

#LeteniTimu
 
Simba akitoka draw mechi hii, Yanga bingwa tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…