sina shida ya kununua tofali za kujenga nyumba....
vilevile usiongee kwa dharau sababu unayemuongelea kwa dharau humjui hata kidogo, saa ingine ulingani naye hata kidogo kwa lolote wala chochote, amekuzid mbaali sana.
principal ya disposal itumie kwenye biashara zako na maisha yako utafaidika zaidi sababu wala sijakuomba ushauri.
vitu vyangu vina thamani zaidi ya hiyo laki 7 , nearly inakaribia mil2 nilizowekeza kwenye biashara hiyo, sasa iweje niviuze kwa bei ambayo hata haikaribii nusu thamani vya vitu vyangu?!
pia siuzi vitu vyangu sababu ya njaa au shida, kama nikishindwa uza kwa bei ninayoitaka niko tayari kuhamisha biashara karibu na sehemu ninapoishi nikasimamia mwenyewe, na hiyo laki saba huenda nikaipata within a month or two months.
sio lazima kuvamia kila thread utoe pumba zako hata kama huna la kuchangia, kama thread haikuhusu ipitie mbali.