YouTube
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 936
- 363
vyote naviuza kwa Tsh milioni moja na laki mbili tu. TSH 1,200,000/=
price is fixed.
hapa chini ni makadirio ya bei ya kimoja kimoja japo mimi nilinunua zaidi ya hapo.
dstv ya decoder 2 na ungo wake, ~ TSH 300,000/=
tv mbili inch 28", ~ TSH 400,000/=
projector moja, ~ TSH 500,000/=
mabenchi 20, ~ TSH 300,000/=
meza moja ~ TSH 30,000/=
siuzi kimoja kimoja.
vitu vipo Dar es salaam.
vyote vinafanya kazi vizuri, havina tatizo lolote.
sababu ya kuviuza ni kukosa usimamizi wa biashara, kijana niliyemuweka ameniangusha.
mwenye kuhitaji pm or call 0714345958