Fulana za Mnyika na mabango...

Fulana za Mnyika na mabango...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,250
Reaction score
44,579
Nimepokea ujumbe huu:

Ndugu,

Napenda kuwafahamisha vifaa vya "Namuunga Mkono MNYIKA" vipo tayari. Kuna; fulana, stickers(kuweka ktk magari, milango nk),wheel covers, stafu(ila rangi za chama)!

Fulana-10,000/-
Stickers- 1,000/-
Wheel Covers- 30,000/-
Skafu- 5,000/-

Kwa yeyote anayependa kupata vifaa tafadhali wasiliana kupitia;
0717-011112, 0783-222217!

Tuungane tuwezeshe kampeni za MNYIKA. Hakika kwa pamoja-TUNASHINDA!
 
Hii staili ya fulana na wheel covers za kuuza wakati wenzao wanatoa bure, itamcost Mnyika, hivyo atawajibika kupata wafadhili zinunuliwe na kugawiwa bure. Ila pia hata kama vifaa havitanunuliwa sana, Mnyika ameshasimama kuhesabiwa, Ubungo ni yake njia nyeupe, kama alivyo Zitto kule Kigoma kaskazini. By the way, kwa mlioko nyumbani, angalieni TBC saa hizi Zitto anafunika bovu.
 
Kampeni duniani kote huendeshwa kwa michango na kuuza vitu kama fulana na stika, hii biashara ya kutafuta wafadhili ndio inayofanya wahindi wawatawale watu wa ccm kwa kuwa akishakufadhili tayari umeingia ktk anga zake. Tumchangie Mnyika, hasa watu wa ubungo na pia tununue vifaa hivyo ili ashinde kwa fedha safi na akiingia bungeni kusiwe na mtu mwenye ubia na ubunge wake. Tumejionea wahindi kibao wana ubia na urahisi na ubunge wa ccm, hatutaki hiyo kitu itokee chadema.
 
Hii staili ya fulana na wheel covers za kuuza wakati wenzao wanatoa bure, itamcost Mnyika, hivyo atawajibika kupata wafadhili zinunuliwe na kugawiwa bure. Ila pia hata kama vifaa havitanunuliwa sana, Mnyika ameshasimama kuhesabiwa, Ubungo ni yake njia nyeupe, kama alivyo Zitto kule Kigoma kaskazini. By the way, kwa mlioko nyumbani, angalieni TBC saa hizi Zitto anafunika bovu.

mkuu pasco huwa naheshimu mchngo wako lakini kwa hili la kutafuta wafadhili sikubaliani nalo HATA KIDOGO
 
Wale tunaomuunga mkono kijana huyu makini tumuunge mkono kwa kununua hivyo vitu. Tunaweka thamani ya mchango wetu . Itakuwa tofauti na kupewa bure kwa sababu tumeshawekwa thamani yetu kuwa ni bure kwa kupenda vya bure
 
Hii staili ya fulana na wheel covers za kuuza wakati wenzao wanatoa bure, itamcost Mnyika, hivyo atawajibika kupata wafadhili zinunuliwe na kugawiwa bure. Ila pia hata kama vifaa havitanunuliwa sana, Mnyika ameshasimama kuhesabiwa, Ubungo ni yake njia nyeupe, kama alivyo Zitto kule Kigoma kaskazini. By the way, kwa mlioko nyumbani, angalieni TBC saa hizi Zitto anafunika bovu.

Hii inaitwa ''fund raising'' inatumika popote duniani. Ni njia inayohakikisha kuwa kiongozi anaingia ofisini akiwa msafi. Kumbuka Mnyika na wapinzani hawana magari ya serikali kama Riz1 na Mama Salma, ili kuweza kuwafikia watu wengi ni lazima akina Mnyika wawe na vyanzo mbadala hiki ni kimoja. Kampeni za kugawa bure zinategemea Kagoda Investment na BoT,zikisaidiwa na watanzania wenye asili ya Asia. Hawa hawatoi bure wanatoa kwa mkono wa kulia na kuchukua kwa wa kushoto. Mnakumbuka Richmond, Kagoda, Tangold n.k angalia watuhumiwa wa kashfa hizi. Wamesababisha mzee akose nguvu za kuwashughulikia ili kulipa fadhila. Sina mnakumbuka mama SS alimuumbua mzee John kuwa harusi yake ilifadhiliwa na mtuhumiwa X wa Richmond!
Mimi napiga simu kupata fulana yangu toka kwa Mnyika,ili akipata ubunge ni mdai maendeleo ya jimboni kwangu kama mwananchi na si mfadhili.
 
Back
Top Bottom