Fuga Ufaidike: Replace the place of Mother Hen | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fuga Ufaidike: Replace the place of Mother Hen

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Entrepreneur, Feb 27, 2012.

 1. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wanajamvi,
  Ufugaji wa kuku wa kienyeji umekuwa ni nyenzo muhimu ya kunyanyua uchumi wa familia nyingi mijini na vijijini. Hata hivyo ili kukidhi soko la walaji ni vyema tukitumia vitu ambavyo teknolojia imetupatia ili kufikia malengo yetu ya kiuchumi na kijamii. Na hapa ndipo linapokuja suala la kutotolesha vifaranga vingi kwa wakati mmoja kwa kutumia viatamizi (incubators). Mashine hizi zinaweza kutotoa vifaranga kati ya 250 hadi 2000 kwa wakati mmoja.

  Kwangu mimi, kikwazo kikubwa kilikuwa ni namna watu wa vijijini wanavyoweza kunufaika na teknelojia hii hasa ikizingatiwa kuwa uendeshaji wa mashine hizi unahitaji umeme, bidhaa ambayo kwa asilimia kubwa haipatikani vijijini. Lakini baada ya kukutana Bw. Zacharia Zamoke, (mtengenezaji wa mashine hizi) alinihakikishia uwezo wake wa kutengeneza mashine inayotumia mafuta ya taa. Mjasiriamali huyu ameingiza sokoni bidhaa ijulikanayo kama Imberuzi, na inapatikana katika aina tatu

  1. Imberuzi Small[FONT=&amp]: It can hatch up to 250 eggs. It only costs. $ 1000
  2. Imberuzi Medium[/FONT][FONT=&amp]: It can hatch up to 600 eggs. It only costs $ 2000 [/FONT]
  3. Imberuzi Maximum[FONT=&amp]: It can hatch up to 2000 eggs. It costs only $ 6500[/FONT]

  Kwa picha na maelezo zaidi watembelee hapa . Na kwa mawasiliano zaidi piga +255 755 722447 au + 255 719 932550
   
 2. ABEDNEGO

  ABEDNEGO Senior Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 109
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunaomba data zaidi na contact za mtengenezaji pia mayai yanakopatikana nk
   
 3. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Watengenezaji/wasambazaji wanadeal na mashine, suala la mayai ni jukumu lako mkuu
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Seems a good business.. but I am out..By Shark Tank Abdulhalim
   
 5. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Out of what mate?!
   
 6. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Mkuu hizi incubator zinazotengezwa localy ni nooma, kuna jamaa anga alinunu moja na kuanza kuatamishia mayai, ilikuwa nusura ajinyonge mkuu,

  Tatizo hizi Incubeter nyingi zinashindwa kucontroo temperature
  so ni mpaka ukae hapo jirani masaa yote kuregurate joto
  Na sio otomatic kiasi kwamba ni wewe ndo unatakiwa uwe unayageuza mayai

  KUNA KAMPUNI MOJA YA KENYA WANA INCUBATOR NZURI SANA NA WANAZI IMPORT KUTOKA UJERUMAN NA INDONESIA ZIPO ZA MAYAI KUANZIA 1000 HADI 10,000 NA ZINAKUWA NI AUTOMATIC NA ZINATUNZA JOTO KWA HADI MASAA MAWILI ENDAPO UMEME UTAKATIKA,
   
 7. ketwas

  ketwas JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 213
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu hizo za kenya tutazipataje?asante
   
 8. kimpango

  kimpango JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 515
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 80
  waweza kuwa uko sahihi lakini hujaainisha bei zake na uwezo wake pia utuambie kwa hapa bongo tunazipataje , mi huyo mjasiriamali wa kibongo ameniudhi kupanga bei kwa us dolas wakati kuna Tsh
   
 9. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakati tunamsubiri Komandoo aje na bei ya hizo mashine za kijerumani pamoja na sehemu ambayo tunaweza kuzipata, ni vyema ungewacheki na Jamaa wa DIT pia kwani nimeambiwa na pale zinapatikana. Personally nimevutiwa na hizi imberuzi kwa kuwa mtengenezaji anaweza akazi-customize zikaendana na mazingira ya huko vijijini kwetu ambako hakuna umeme.

  Halafu mkuu usichukie sana, kuhusu hapo kwenye Dollar, kwan jamaa ametarget na masoko ya nje pia. Sasa kwa kuwa shilingi yetu inashuka thaman holela holela ni vyema bei ikiwa kwenye stable currency ili asirudi nyuma
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kwanini hizo incubator ziuzwe kwa DOLA?
  Nia ni kumkomoa mkulima au?
   
 11. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu, huyu jamaa alivyoanza, alikuwa amelocalize operation zake sana, na alikuwa anauza kwa fedha ya kitanzania. Kwa sasa ameenda kimataifa zaidi, ndipo maana hapo kwenye pricing ameamua kutumia stable currency kwani soko lake limevuka mipaka ya Tanzania.

  Hata hivyo kama ukihitaji anaweza akakupatia bei in terms of Tanzanian shillings. Wala si kukomoana bali ni kukidhi mahitaji ya soko tu. Hata kahawa ya Mkulima ikitoka Tanzania na kwenda kuuzwa nje, haiuzwi kwa shilingi za kitanzania bali Dollar.
   
Loading...