Fuata steps hizi uirudishe star t.v kwenye startimes

wote mnabahatisha hamzijui frequency halisi mimi nilizonazo nikisearch napata channel nyingi za maana bila kulipia, hizo 530 na 531 zimebadilishwa tangu zamani

Acha ubinafsi, tupia hapo na wewe kama unataka wenziyo wafaidike, kama vp ungekaa kimya.
 
Ving,amuzi baadhi hv vipya havikubali jamani kuna ambavyo vimegoma kabisa
 
 
wapi mlimani tv nowdays? is it alive??????? au mafuriko ya ya digitali imeing'oa kwenye soko!
 
nashuku kwawema wako na ubunifu wa kutafuta habari za kusaidia wengine. Nimefanikiwa ma mimi kupata star tv ns nyingine.
 
dah mi kingamuzi changu cha startimes ni kile cha kwanza kabisa kabla hata ya world cup kuanza.. nimejaribu no zooote ila kimegoma
 
Sijalipia king'amuzi changu for months now. Nawashukuru star tv, sekeseke lao limenipa channel zaidi. Am enjoying emmanuel tv kwa sasa.

Maisha ndo haya bana
 
mimi namba zote zimegoma, au ni visimbuzi vya zamani ndio vinakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…