Fuata steps hizi uirudishe star t.v kwenye startimes

Ving,amuzi baadhi hv vipya havikubali jamani kuna ambavyo vimegoma kabisa
 
Ili kupata star tv kwa star times tena unakwenda menu.halafu chini kuna system setting unabonyeza ok then inakuja channel search then inakuja manual search mbele kuna namba 451unabonya namba 053 halafu okay inakua in search and unapata star

VIVA JAMII FORUM!!!
 
wapi mlimani tv nowdays? is it alive??????? au mafuriko ya ya digitali imeing'oa kwenye soko!
 
nashuku kwawema wako na ubunifu wa kutafuta habari za kusaidia wengine. Nimefanikiwa ma mimi kupata star tv ns nyingine.
 
dah mi kingamuzi changu cha startimes ni kile cha kwanza kabisa kabla hata ya world cup kuanza.. nimejaribu no zooote ila kimegoma
 
Sijalipia king'amuzi changu for months now. Nawashukuru star tv, sekeseke lao limenipa channel zaidi. Am enjoying emmanuel tv kwa sasa.

Maisha ndo haya bana
 
mimi namba zote zimegoma, au ni visimbuzi vya zamani ndio vinakubali?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom