Mbeya hioJAmus ni Team ya wapi Wakuu
Itategemea atakayekujibu. Yanga watasema ya Sudan, na Simba watasema ya Sudan KusiniJAmus ni Team ya wapi Wakuu
Mkuu Mbeya hii hiiMbeya hio
Daah hawa wanaopigana vita kila siku??Itategemea atakayekujibu. Yanga watasema ya Sudan, na Simba watasema ya Sudan Kusini
Inatoka kule ilikotoka ule team waliyoipiga goli saba kwenye CAFCL (Zalan Fc), ambayo mpaka leo bado uko njiani kurudi kwako Sudani.JAmus ni Team ya wapi Wakuu
Ni ya Sudan tena Sudan yenyewe ni Sudan ya kusini. Haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya nje ya nchi yake. Kumbuka ni ya Sudan kusiniJAmus ni Team ya wapi Wakuu
Hahahahahaha Mbeya ya IHEFU MkuuMkuu Mbeya hii hii
Hahahahahaha Mbeya ya IHEFU MkuuMkuu Mbeya hii hii
Kuna jirana nimeuliza aisee nimeambiwa wanasubiri Club BingwawHahahahahaha Mbeya ya IHEFU Mkuu
Sudani kusiniJAmus ni Team ya wapi Wakuu