Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,306
- 32,795
Yanga wankosa goli pale
Unaiangalia ya nini sasa mkuuMechi ya hovyo sana
Kumbe wewe ni mshabiki wa wananchiNyuma mwikoooooo
Manyeto lazima achomesheYanga wanajifanya Man City wanacheza kutokea nyuma, sasa Bakari Nondo anatetemeka😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watakugeuza kabisa,maana tayari wamekuangusha,kuwa makini mkuu
utakuwa na mzio/aleji ya kupenda vitu vizuri yanga mbovu horoya na vipers unawaweka wapiTimu mbovu sana hii Yanga. Boresheni soka lenu leo mnalala 3-1 hapo hapo we ngoja
bwana mganga tulia uangalie mpira, jana watu walipiga bomu mochwareLitarudi
Kuna goli 3 hapoDah ila hii mechi draw alternatively kimoko
🤸🤸🤸🤸🤗🤗🤗🤗Mwiko mwenyewe [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Forever and always 💃💃Kumbe wewe ni mshabiki wa wananchi
Kwani wanacheza uwanja tofauti na Monastril? Si huohuo au?Uwanja umewapa vyura advantage
Basi hapo umeumia sana[emoji2]Gooooooooooooo Yanga 1
Ni Musonda anapiga goli
Ikawe hivyo[emoji120]Yanga wanatafuta bao la 2