Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 44,388
- 105,232
Okrah vipi leo hajacheza?Tusubiri tuone ngapi zitaongezwa kubeba utopolo united
Au bado ana uchovu uchovu wa kuwekwa kwenye sanduku la maoni?
Okrah vipi leo hajacheza?Tusubiri tuone ngapi zitaongezwa kubeba utopolo united
Zote hizo za nini?Dk 5 za nyongeza
Leo lazima Yanga tupige mtu 5 ...
Kuna watu watanuna bila sababu
KAMA TUNAWEKERA SEMENIIIIIIIII
Hang over ya Konyagi bado ipoOkrah vipi leo hajacheza?
Au bado ana uchovu uchovu wa kuwekwa kwenye sanduku la maoni?
Na Zimebaki 2.Zote hizo za nini?
Utofauti wake na boko ni urefu na ufupi mkuuOkrah vipi leo hajacheza?
Au bado ana uchovu uchovu wa kuwekwa kwenye sanduku la maoni?
Watu Wanapewa Zalani zalani tu....!
Wakibadilishiwa basi Jamus au KVZ..
Nadhani sasa utakuwa umeingiwa na hofu kuhusu matokeo ya Yanga katika mechi zijazo jinsi yatakavyokuwaLeo lazima Yanga tupige mtu 5 ... Kuna watu watanuna bila sababu KAMA TUNAWEKERA SEMENIIIIIIIII
Wale strikers wao waliokuwa wanawafananisha na kina Mbappe leo wamecheza?Dakika 5
Leo refa kaona aibu kidogo!! Lakini Leo kulikuwa na tukio la mechi kusimama Okrah alipoumia lakini zimeongezwa dk 5 wakati juzi hakikuwa na tukio la mechi kusimama lakini ziliongezwa dk 7!! Jku waliibiwa pointing Yao 1 na wananchi!!Dk 5 za nyongeza
Yanga kuja kuizidi Simba, baadae sanaa.Duh! Kila la heri kwa Wananchi. Naona kikosi kina mabadiliko ya kutosha tu. Nadhani wadogo zetu simba wana cha kujifunza hapa. Siyo kila mechi lazima Kapombe, Onana, Baleke, Ngoma, na Che Malone wacheze..
Sema hata lile joto la kwenye ile S.L.P nalo sio la kitotoHang over ya Konyagi bado ipo
Refa anasubiri nini kumaliza mpira?Kona dk ya 95
Aiseee