FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰

🏆 #mapinduzicup
⚽️ Young Africans SC Vs KVZ FC
📆 04.01.2024
🏟 Amaan, Zanzibar
🕖 2:15 Usiku

View attachment 2861587

Ni Match ya Round ya Tatu.
Yanga Tayari ameshaingia Robo fainali,

Mechi inachezwa kukamilisha ratiba tu.
Tunategemea kupata burudani kweli kweli kutoka kwa Wananchi.

KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA.
View attachment 2861875

Kikosi cha KVZ kinachoanza.
View attachment 2861921
#Daimambelenyumamwiko#

Mpira umeanza hapa: Beki za Yanga zinakanganyana kidogo hapa.

6'
Yanga wanafanya shambulizi lisilo na madhara kabisa kwenye lango la KVZ

10'
Yanga 0- 0 KVZ
Mpira unaendelea timu zimebalance game sasa.

15'
Mpira unaendelea, bado milango ni migumu kwa timu zote
Duh! Kila la heri kwa Wananchi. Naona kikosi kina mabadiliko ya kutosha tu. Nadhani wadogo zetu simba wana cha kujifunza hapa. Siyo kila mechi lazima Kapombe, Onana, Baleke, Ngoma, na Che Malone wacheze..
 
Hawa vijana wa Yanga wanaonekana hawana Afya kabisa.
Au ndio kulishwa Sukari na mikate tu?

Body Physic kwenye football ni muhimu sana
 
Duh! Kila la heri kwa Wananchi. Naona kikosi kina mabadiliko ya kutosha tu. Nadhani wadogo zetu simba wana cha kujifunza hapa. Siyo kila mechi lazima Kapombe, Onana, Baleke, Ngoma, na Che Malone wacheze..
🤣🤣🤣
 
Ni kuwakosea heshima wapenzi wa soka, hii KVZ nayo iliingiaje haya mashindano.
 
Back
Top Bottom