Hata chenchi hatujawaachia.Point 6 zote kabeba Yanga
Duuh, kwa hio leo ningebet ningekula
Kwahiyo wewe mpaka upigwe 5 ndio usikie maumivu sio?Kutamba koooote ndo ushindi gani sasa?
Mpaka Marefa Wahusike?
Nyie washabiki ni ........?Simba viongozi ni mikund*, huwa nasema kila siku
Duuh😅😅😅Duuh, kwa hio leo ningebet ningekula
Tujipange next season. Hili limepita.Pongezi ziende kwa mtani anaupiga mwingi,Simba inabidi tuendelee kujiboresha zaidi
Shida ni kwamba je tutajipanga?Tujipange next season. Hili limepita.
Leo katika kitu kimenshtua na kujua kua kumbe kibu Denis tangu ligi ianze amefunga goli 1 pekee, aisee
Duuh, kwa hio leo ningebet ningekula
kwamba ile penati ya mchongo, alijiangusha amaShida migoli ya Marefa
Simba ni Simba, ameanguka atasimama.Shida ni kwamba je tutajipanga?