FT' Tanzania 1-1 Tunisia - AFCON 2025| Group Stage | Group C | Match 3 of 3 | Stade Prince Moulay Abdallah Stadium | Saa 19:00 Usiku

FT' Tanzania 1-1 Tunisia - AFCON 2025| Group Stage | Group C | Match 3 of 3 | Stade Prince Moulay Abdallah Stadium | Saa 19:00 Usiku

Hata akina Tchouamen, Alex Song, Mbappe na Zidane wanashangaa hivi hawa Wachezaji waliovaa jezi ya bluu wametoka kwenye mapori ya wapi?

Ukabaji wa kumshikilia mti namna ile? Hata Simon Msuva kafanya hivyo hivyo. Ushamba sana.
Kila nchi na utaratibu wake wa kukaba, mabeberu wasituingilie utaratibu wetu wa ukabaji😁
 
Wachambuzi wanasema Starz wameenda kama bestlooser. Sijaelewa wameenda kwa kanuni gani?
 
Back
Top Bottom