Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,913
- 133,926
Mkuu, wewe umeweka hela ndogo hivyo kama huna uhakika kuwa Stars anakandwa leo? Mimi nimempa Tunisia 200,000/=.Wazee wa mikeka tushawachinja, nitasikitika sana wakipata sare maana buku langu litakuwa limeenda bila sababu.
Mkuu, wewe umeweka hela ndogo hivyo kama huna uhakika kuwa Stars anakandwa leo? Mimi nimempa Tunisia 200,000/=.Wazee wa mikeka tushawachinja, nitasikitika sana wakipata sare maana buku langu litakuwa limeenda bila sababu.
Ulisikia hizo sifa alizomwagiwa na watangazaji wa azam baada ya lile tukio?? 🤣🤣🤣🤣 Aisee jamaa linacheza kama likondooo wanalisifia upumbavu, na leo linaweza likala umemeHaya yule beki wenu mliyempa sifa za ukabaji wa kijinga kachomesha huko. Yaani katika soka la Kisasa yeye bado anakaba kama tuko zama za mawe? Kumamake Ibrahim Bacca.
CcmHivi aliyeanzisha haya mambo kuwa kutoa ahadi ya hela huwa inaongeza uwezo wa mchezaji ni nani?
Hao Watangazaji ni maamuma sana. Wanasifia ukabaji wa kizamani. Hata siku ile Osimhen aliona amepaniwa na mpori pori mmoja kutoka vijiji vya Ujamaa, akaona aliangalie tu.Ulisikia hizo sifa alizomwagiwa na watangazaji wa azam baada ya lile tukio?? 🤣🤣🤣🤣 Aisee jamaa linacheza kama likondooo wanalisifia upumbavu, na leo linaweza likala umeme
Anakaba bila akili nguvu nyingiHao Watangazaji ni maamuma sana. Wanasifia ukabaji wa kizamani. Hata siku ile Osimhen aliona amepaniwa na mpori pori mmoja kutoka vijiji vya Ujamaa, akaona aliangalie tu.
Eti hilo ndo tukaanza kuambiwa klabu ya Fulham inataka kulisajiri.Fulham my foot! Labda kama ni "furu wa hamu". Kubababake.
Hiyo ni lazimaHata kama wamesawazisha, kukandwa kwa Taifa Stars kuko pale pale.
Unatarajia mtu awe Polisi, sijui askari wa KMKM, halafu bado awe na akili?Anakaba bila akili nguvu nyingi
Acha wafungwe TU,hawana maanaKichwa cha mwendawazimu lazima atafungwa tu. No way out.
Na wotee tuseme AmeeniiMUNGU baba asante Kwa kuendelea kutulinda wazalendo wako, wewe ndie fundi mkuu tunaomba timu hii ya wahuni iendelee kukinywea kikombe cha kufungwa ikiwezekana wasipate hata bao la kuotea Amiiina