FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

Leo nimekuwa wakwanza kukoment, nipeni likes za kutosha wadau, kila lakheir mnyama.

Ila mwana unalalaga ukiwaza kuanzisha uzi tu wa mechi, hongera kwa umakini huu.
Hivi mtu akiwahi kuanzisha uzi huwa mnaumia ama ni vipi?

Maana huwa naona watu kama wana mind hivi mtu akianzisha uzi mara utasikia ohhh hulali unawaza kuanziaha uzi.

Ni ujinga tu. Mtu akianzisha uzi hata iwe usiku wa manane as long as hajavunjwa utaratibu wa JF wala wa nchi hakuna shida.
 
Hivi mtu akiwahi kuanzisha uzi huwa mnaumia ama ni vipi?

Maana huwa naona watu kama wana mind hivi mtu akianzisha uzi mara utasikia ohhh hulali unawaza kuanziaha uzi.

Ni ujinga tu. Mtu akianzisha uzi hata iwe usiku wa manane as long as hajavunjwa utaratibu wa JF wala wa nchi hakuna shida.
Usiku Wa Manane Unaanzisha Uzi..?

Babaake Haji na JK hawawezi Kufanya Upuuzi huo...! Ni hao tu ieleweke..!
 
Benchi la ufundi la Simba likumbushwe kuwa na wachezaji maalum wa kupiga faulo/mipira iliyokufa, penati na kona. Sio kila mchezaji anaweza kufanya hivyo. Ndio maana katika mechi iliyopita Simba ilipoteza kijinga kabisa nafasi zaidi ya mbili za faulo karibu ya goli tena kama sikosei alikuwa Kanoute. Kanoute na faulo wapi na wapi. Kilichotokea kwenye mechi iliyopita kila mchezaji alikuwa anata kupiga faulo wakati upigajiwa faulo ni kipaji kama vilivyo vipaji vingine.

Tmu nyingi kubwa duniani zinakuwa na wapigaji maalum wawili/ watatu hivi kutegemeana na umbali kutoka golini na upande faulo ilipotokea kutoka golini. Timu inaweza kuwa na mpigaji mmoja kwa faulo zote au wakati mwingine timu inaweza kuwa na mchezaji anayepiga faulo za upande wa kushoto na mwingine akawa napiga faulo za upande wa kulia. Na yote haya huanzia mazoezini kwa benchi la ufundi kujua ni mchezaji gani huwa anapiga mipira iliyokufa kwa usahihi na hata wachezaji wenzake wanapaswa walijue hilo.

Aliye karibu na Matola amfikishie taarifa hii italisaidia benchi la Simba.
Nilishangaa sana kuona Kanoute anapiga freekick tena zile za karibu kabisa na goal ambazo ni nafasi nzuri ya kufunga, Kanoute hana uwezo wa kupiga foul.

Onana alionyesha uwezo, ukiachana na ile aliyofunga hata zilizofata zilibaki kidogo tu zizae magoli.
 
Back
Top Bottom