Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 5,993
- 12,328
Imepenya kunako, pole sana kwa maumivu na ikikuuma ichomoe pole pole isije kuvunjikiamoCheki nayo hii Gongowazi
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Imepenya kunako, pole sana kwa maumivu na ikikuuma ichomoe pole pole isije kuvunjikiamoCheki nayo hii Gongowazi
Mayele yupi, yule mchezaji wa Pyramids ya Misri?
AS Vita ClubKwani mwanzoni alikuwa anacheza wapi si aliwabandua nyinyi au umesahau
Sidhani kama shida ni uwanja mbona kule azam complex wanaset vyema na huu ni mrefu kushinda ule!.. hawajataka tu labda ila uwezekano wa kuweka kamera ya juu upo.Huu uwanja wa kishoga sana hata CAMERA set up yake sio rafiki
Yeye Inonga wakati anawachezea wenzake hovyo alikuwa anapata nini?Unajiabisha mkuu...
Unajiabisha sana, unafurahia binadamu mwenzako kuvunjika.
Wewe unapata nini?
Huyo ni tembo mtotoKiwango cha Miqson hakistahili hata kuchezea Ihefu
Na pale Yanga walipokosa misimu minne mfululizo, baadaye misimu miwili wakabeba kombe, je walibebwabebwa?Mbumbumbu ni wahanga kiakili kutobeba TZ PL misimu miwili mfululizo 2021/22 - 2022/23, lazima wabebwe bebwe kama matoto akina Junior ili yasiwehuke
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Azam TV wanaset cameras kulingana na usiriazi wa mechi husika,hii ni futuhi.Huu uwanja wa kishoga sana hata CAMERA set up yake sio rafiki
Wacha wee.Kawaida kwetu
Anatakiwa ajifunze zaidi kwa Aziz Ki anayetoa assist kupitia matoboHuyu CHAMA jamani... Anageuza watu kama CHAPATI EEEH
Tatz la Uto kila sehem mnatafuta WaumeAzam TV wanaset cameras kulingana na usiriazi wa mechi husika,hii ni futuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
na kutema mateAnatakiwa ajifunze zaidi kwa Aziz Ki anayetoa assist kupitia matobo
IHEFU iheshimiwe!Kiwango cha Miqson hakistahili hata kuchezea Ihefu