mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,053
- 3,300
We jamaa haya majina yote utayabebea wapi? Hata mimi nayataka nigawie japo mawili tu .Sasa naitwa Freyz Osman Sakho Pablo Martinez Kanoute!
We jamaa haya majina yote utayabebea wapi? Hata mimi nayataka nigawie japo mawili tu .Sasa naitwa Freyz Osman Sakho Pablo Martinez Kanoute!
Ulitazama mechi? Unamlaumu Nahimana kwa kosa gani?Namungo hawakupaswa kumpanga Nahimana. Huyu ni golikipa anayecheza kinazi Sana dhidi ya Simba tangu zamani.
Goli zote mbili kafungwa kizembe:
Aliondoka KMC Kwa kuifungisha timu kizembe kila KMC ilipocheza na Simba, Kama hiyo haitoshi Nahimana alinukuliwa katika kipindi cha Sports Arena akisema anapenda Simba. Kauli iliyomuondoa KMC .
Namnukuu mwenyekit wa KMC
Kheri ambaye pia ni diwani wa Bunju alisema kuwa kwa mchezaji wa aina yake na nafasi anayocheza na umuhimu wake kwenye timu, Nahimana hakupaswa kuonyesha mapenzi kwa timu ya Simba wakati bado ana mkataba na timu yake.
Shukran za dhati ziende kwa Scars Nyamizi Dam55 XII Tz Ekuweme Dabil ESPRESSO COFFEE lwambof07 kinje ketile park don Nyonzo bin mvule.
Pia bila kuwasahau bhagosha waukweli ngosha wa mwanza Bill ChamasonMorisonBwalyason Utopologist Mshana Jr tuko pamoja.
wadau wengine wote wakali wa apdates OKW BOBAN SUNZU Ghazwat .
Tukutane tena kwenye muendelezo wa ushindi pale Simba ilipoishia.
Simba nguvu moja.
😇😇😇😄😄Amevurugwa na hesabu huyo.Ulitazama mechi? Unamlaumu Nahimana kwa kosa gani?
Utopolo unatafuta angle ya kujifariji.
Ficha ujinga wako ile shuti ya sakho aliipangua kwa akili mno kabla kagere haujamkuta ule mpira na kufunga....kumbuka kagere alitumia akili nyingi mno kuudundisha ule mpira maana angesema apige chini tu nahimana angeudaka vizuri mnoNamungo hawakupaswa kumpanga Nahimana. Huyu ni golikipa anayecheza kinazi Sana dhidi ya Simba tangu zamani.
Goli zote mbili kafungwa kizembe:
Aliondoka KMC Kwa kuifungisha timu kizembe kila KMC ilipocheza na Simba, Kama hiyo haitoshi Nahimana alinukuliwa katika kipindi cha Sports Arena akisema anapenda Simba. Kauli iliyomuondoa KMC .
Namnukuu mwenyekit wa KMC
Kheri ambaye pia ni diwani wa Bunju alisema kuwa kwa mchezaji wa aina yake na nafasi anayocheza na umuhimu wake kwenye timu, Nahimana hakupaswa kuonyesha mapenzi kwa timu ya Simba wakati bado ana mkataba na timu yake.
Kwenye mpira mchezaji unatakiwa uwe na hesabu.Lile beki la namungo jinga Sana lilikaba kizembe hadi kuruhusu goli la pili hata mimi ningezuia mpira ule.
Jibu ni rahisi ,figisuTumewezaje kuongoza ligi kwa uchezaji huu?
Wanayanga wenzangu, na nyie mnajiuliza swali hilo kama mimi?
We jamaa haya majina yote utayabebea wapi? Hata mimi nayataka nigawie japo mawili tu .