Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,607
- 59,664
Kumna comeback moja matata we subiriYanga wanakosakosa hapa goli la wazi qummamae.
Kumna comeback moja matata we subiriYanga wanakosakosa hapa goli la wazi qummamae.
Kipa wetu mzuri
Anytime goalscorer mayele
Tulia 😂😂 Game na Madrid ilikuwa kali sanatumebaki hapa tunawatazama senali, ila wenzetu wana mpira bhaana tchaaah'..!!🙌
Bado bwanaMitambo imerejea
Bado subiri wanaweka sawa mitamboVipi azam wamerudi ?
NdioVipi azam wamerudi ?
Nitoke Sumbawanga nije Taifa? WoiNjooni taifa achaneni na kuangalia tv kila siku.
Dah....na wewe upo hapa? 🤣 🤣🤣🤣Mbn kama tupo banda moja[emoji2][emoji2]
Napendaga vitu unavyotazama kwenye mpira mdogo wangu, mpaka namiss enzi za Brazil..!😂😂Arteta amependeza 😍