Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,303
- 183,184
Yanga kwanza 😊!Team Tanzania zote Simba na Yanga mbele Kwa mbele...
Yanga kwanza 😊!Team Tanzania zote Simba na Yanga mbele Kwa mbele...
Haaahaaa!! Kweli bangi sio ya kuhalalisha kabisaIngekuwa Mashujaa wa kigoma, Medeama angekufa nyumbani kwao!! Hapo vipi!!
Tatizo mapenzi ya timu huwa yanawaathiri sana ndio maana hamtaki kuusikia ukweli wowote unaokosoa timu unayoshabikia. Mnapenda kusikia mazuri tu na yale ya kuwapa matumaini.Wewe ni either sio mtu wa mpira au una chuki zako tu na Simba, ukweli nikua timu zetu zimepiga hatua Simba halkadhalika Yanga pia.
Wydad ndie finalist wa AFL na budget zao hivo vilabu zinajulikana ziko juu hatuzifikii hata nusu yake punguza chuki uinjoi football