Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,975
- 6,396
Mungu ibariki Berkane
Hii record ya Berkane inatisha.
Taja muda kwenye Title yako,Mechi inaanza muda gani?
Hii maana yake si kuuponzaKupenda mtelezo NDO maana mnapangishiwa apartment kinondoni na masaki
17 May 2025
Hahahaha😂😂😂Hii ndiyo maana halisi sasa ndugu zangu ya Ubaya Ubwela! Kila la heri kwa RS Berkane. No way out. Mimi ni Mzalendo kwa nchi yangu tu ya Tanganyika. Sijawahi kuwa Mzalendo kwenye mambo ya hovyo hovyo.
Mechi iko mji gani kwani.. Rabat?Saa ngapi huu mchezo nikisoma google wengine wanasema Morocco na Tanzania tunapishana massa 3,
Wengine wanasema Casablanca na Dare-salaam mpishano wa muda ni masaa 2, Tanzania tuko mbele ya Morocco
Topolo la kwanza kwenye uzi wa Simba.Lolote liwakute 😎
CasablancaMechi iko mji gani kwani.. Rabat?
Naona toka uzi umeanza ni utopolo tu wanakanyagana.wale wapuuzi wa simba akishinda Leo nipigwe ban wako wapi?
Utopolo ingine hii.Nawatikia mchezo mzuri.
Wenyeji wasiniangushe!
We mtu anapiga punyeto anawaza mpira, Tanzania raha sana.Duh hii NDO Tz
Mchana mpira
Asubuh mpira
Usku mpira
Hadi mida ya wanga mada ni mpira
Uskute hata wachaw wanaenda kuwanga na smartphone zao wanaperuz na kureply na mada huko vilingeni kwao NDO hvohvo mpira mpaka uchawi unakua Hauna faida kama wazungu vile
Caption: "Tutawafunga hapa hapa, au nasema uongo ndugu zangu?"Mkikimbia mnapigwa,mkibaki mnapigwa. Lolotw baya liwakute kuzira fc ,kwa mkapa fcView attachment 3336660
Utopolo ingine hii.Simba atakunyugwa nje ndani