Weka cover hapo first elevenKaribuni wadau kwa update za mechi hii ili tuliombali na TV tujue kinachoendelea
Tulia we Mrembo wa Makolo🤣🤣🤣jitu linaenda kufa
Yamekuwa mapoleee
Muda utaongea
Mwenzake?Kumbe leo KMC ndio anacheza na mwenzake?
Sio mwenzake sema " kumbe leo kmc anacheza na bingwa wa nchi"Kumbe leo KMC ndio anacheza na mwenzake?
NdioMwenzake?
We Makolo tuliaNdio
Wako level sawa.
Mechi ya leo itaamuliwa kwa bahati.
Aliyeamka vizuri ndio atayeweza kupata matokeo mazuri.
Anacheza na mwenzakeSio mwenzake sema " kumbe leo kmc anacheza na bingwa wa nchi"
Bingwa Mtetezi wa NBCPLAnacheza na mwenzake
Nchi hii haina Bingwa
Bado haiondoi maana kuwa hao ni wenzenuBingwa Mtetezi wa NBCPL
Unaelewa maana ya Bingwa Mtetezi?Bado haiondoi maana kuwa hao ni wenzenu
Kuwa Bingwa sio kigezo cha kujiona mkubwa.Unaelewa maana ya Bingwa Mtetezi?