Mazuzu ni nyie...Ubuntu bothooooo 😅😅😅... Yule kisauti sijui atayadanganyaje haya mazuzu ya Simba.
Malipo ni hapahapa.Nyenyeeee yanga wamepewa penalty 5 wameshindwa wenyewe.... Pyeeee.
IwenaaaaaWanathimbaaaaaaaaaa.... Ubuntu bothooooo 😅
Nimeumia sanaTutaonana msimu ujao...
naomba link.
umemu quote kenge?Au ww ni kenge...
Didication kwa dalali TRY-AGAIN.
Tuendelee na barua ya yanga .... Haya matokeo hatuyatambui.Iwenaaaaa
Mwanalunyasi mwenzangu bado tupo imaraAu ww ni kenge...
Mashujaa ni wababe wenu wa miaka mingi. Siyo mara ya kwanza muwatoa kwenye haya mashindano.Kwani wao sio wachezaji au ni masokwe tulikua tunacheza nao
Sasa mbona unaniambia hasira ya nini kwa mtu aliniita kenge? Ndo ww nakuuliza au ww kenge?umemu quote kenge?
Mayele anakuja dirisha kubwa.Kwani semaji linasemaje😅
Mazuzu yakisikia kile ki sauti tu, ChaliiiUbuntu bothooooo 😅😅😅... Yule kisauti sijui atayadanganyaje haya mazuzu ya Simba.
Kweli kama Ihefu ya mbarariMashujaa ni wababe wenu wa miaka mingi. Siyo mara ya kwanza muwatoa kwenye haya mashindano.
Umeumia Nini Mkuu Wakati Ndio Timu Mbovu.Nimeumia sana
simba outDakika ya ngapi huko mbona uzi unasoma live
Mazuzu fc 🤣... Kisauti kesho.... Atakuja na mmuombe msamaha Fred .Mazuzu ni nyie...
Ubuntu bothoo hoyeee...