FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

Upo uwezekano mwakani msishiriki international games.

Nafasi ya Kwanza hii mmeitema, je kwenye ligi mtaweza kushindana na Azam mpate nafasi ya Pili?

Mna mechi na Yanga na mna mechi na Azam, hapo ndio akili zitawarudia, wakati mnashabikia Mamelodi tuliwakumbusha mfocus kwenye timu yenu hamkashupaza shingo, haya Kiko wapi sasa?
Yanga Tunamkanda na Azam anakandwa pia na Tunachukua Kombe..
Na hatutafuti ushindi wa Pili
 
Kenge mwenyewe...unaumwa nini? Chura mwenye mayai wee
20240219_161912.jpg
 
Ila sio mbaya mnatuzo wa mashabiki bora, whatsapp channel nyie ndio wa kwanza plus kile kibegi.

Mlijificha kwenye kichaka za Mamelod, leo hamna kichaka cha kujificha.
 
Back
Top Bottom