Acha ushubwada kwahiyo unataka tusidai haki?Sasa machafuko yakitokea hizi raha tutazipatia wapi?
Machafuko ndo njia ya kudai haki?Acha ushubwada kwahiyo unataka tusidai haki?
Aisee..Kweli watu wameamka huu uzi wanaupita kama wanaaga mwili wa marehemu
Aisee..
CCM hawashtuki Wala..
We unataka tutumie njia gani kudai haki ambayo unaona wenzio hawajaitumia?Machafuko ndo njia ya kudai haki?
Na wapi nimesema tusidai haki?
Mtani nakusalimu.
Kwa Tanzania ni Yanga pekee ndio kapata ushindi katika Matchday 1Mtani nakusalimu.