Kumbuka auchez na kmcHaijalishi tuna hasira kiasi gani ila leo lazima tuuwe yule mwarabu
Yanga 2
Rabat 0
Watu wana hasira mnoKweli nchi bado ipo kwenye majonzi. Enzi zile kabla ya 29 Oktoba, huu uzi ungekuwa umeshafikisha hata kurasa 15 😢
Shikilia hapo hapo. Wasitutoe mchezoni. 👎Hizi mechi kwa sasa sio agenda yetu.
December 9 ndio ajenda yetu kuu.
Jamiiforums bado imepigwa pin ... sio wengi wako 'nje ya nchi'Kweli nchi bado ipo kwenye majonzi. Enzi zile kabla ya 29 Oktoba, huu uzi ungekuwa umeshafikisha hata kurasa 15 😢
Japo tumeshinda lakini 9D tunatoka.Hongera wananchi wote
Mwasibu 🤣Safi sana JF mmepotezea haya maujinga