Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,581
- 10,110
Watashinda?Kila la heri Barcelona
Naheshimu football ⚽Watashinda?
Huwa hawaonyeshi michuano hii yaani wanatunyima burudani sanaDStv wanaonyesha chanel gani?
Itakuwa startimesWakuu hii mechi DSTV hawaonyeshi. Tunaionaje?
HawaoneshAzam tv wanaonesha ?
Huyu baby mpenda bublishReal Madrid iliyoweza kumfunga Barcelona mara nyingi kwenye hii miaka ya karibuni, ni ile iliyokuwa chini ya kocha Zinedine Zidane! Na siyo hii Real Madrid nyanya ya huyu Babu Carlo Ancelloti.