Bububu - Ndio: 4978 Hapana: 1622
M/Kwerekwe - Ndio: 3017 Hapana: 2174
Kikwajuni –Ndio: 3326 Hapana: 2131
M/kwerekwe ni jimbo alilokuwa akilishikilia waziri kiongozi Shamsi Vuai Nahodha wamepiga NDIYO.
Jimbo la Kikwajuni,limepiga NDIYO, ambalo saivi lipo katika kinyan'nganyiro kikali kwa kiti cha ubunge kwa tiketi ya CCM...ambalo pamoja na wengine yumo N/Katibu Mkuu wa CCM Z'bar, Saleh Ramadhan Ferouz, ambaye pia ameteuliwa hivi karibuni kuwa mjumbe wa BLW, yumo Hamad Yussuf Masauni, bosi wa zamani wa UVCCM ambaye ameshinikizwa na wazee na vijana wa jimbo agombee kumkomoa Ferouz anayedaiwa kumjengea zengwe la kutimuliwa UVCCM.