From the bottom of my heart: I WONT MISS YOU BEN!

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,035
Why would i miss you?..........NAH!NEVER ON EARTH.
baada ya ''kumeremeta'' na kuitafakari ripoti hii kwa muda mrefu sana nimeamua iwe hivyo tu.

I will never stop blaming B (and all of your team) for bringing to tanzanians that kind of MESS!kipindi cha utawala huu nchi yetu imepitia kwenye matatizo ya ajabu sana.

kama noma na iwe noma!manung'uiko ya watu yanapokuwa mengi na ya muda mrefu HUGEUKA LAANA!Laana ikishakuwa laana huenda ukaipata wewe au uzao wako,milele hata milele.

I WILL NEVER MISS YOU BEN
 
He is the one who brought us in this peril situation we are now facing!!
 
the ben i read in the 'meremeta-report',plus the whole team of his

Baadhi ya watu humu wanaweza kuwa ndio kwanza wanasoma post yako, kwa faida ya wote ni vyema ukataja wote kwa uwazi, mfano Ben Mkapa, Jenerali Mboma, Andrew Chenge, etc
 
Hadi mwaka 1995 alijulikana kama Mr. Clean na waadishi makini wa gazeti la Rai wakati ule walimkampenia waziwazi wakidai wanamfahamu vizuri, ... walikuwa hawamjui!
 
Hadi mwaka 1995 alijulikana kama Mr. Clean na waadishi makini wa gazeti la Rai wakati ule walimkampenia waziwazi wakidai wanamfahamu vizuri, ... walikuwa hawamjui!

Mkuu sio kwamba walikuwa hawamjui walimjua kwa kiasi fulani kuwa alikuwa safi,kama mimi na wewe tusivyoamini tunachokijua sasa hata wao vile vile hawaamini.Kama kweli alikuwa safi ni nini kilichomgeuza Mr.Clean mwelekeo namna hiyo 1997?ilipoanzishwa Meremeta,hili ndilo linalonipa taabu mimi na baadhi wa watu wachache.

Kama hatuna majibu kwa swali hili hata kama tutampata kiongozi safi kiasi gani aongoze nchi, chances are hata yeye atabadilishwa na kutuacha tumeduwaa tusijue cha kufanya.Sipendi kuamini kuwa Marehemu Mwalimu hakumfahamu Ben,inawezekana alimfahamu Ben fika na ndio sababu akasimama kidete kumpigia kampeni.

Sina shaka na uadilifu wa marehemu Mwalimu na upendo wake kwa Taifa la Tanzania,kinachonipa shida ni kujua ni nini kilimbadilisha Ben kiasi hicho mpaka akaisaliti nchi?Hili ni jambo muhimu kwa watanzania kujua ili kutegua mitego mingi iliyotgwambele na mafisadi.
 
................AND LOL!i am not regreating with my desicion!I AM MOVING ON WITH MY LIFE
 
Back
Top Bottom