From Madame B to Mung Chris...

From Madame B to Mung Chris...

Mpwa kama maji yamemwagika huko njoo tuchote mengine huku. "Sitakuangusha"[emoji39][emoji39]
Kule mmoja alisema kama yamemwagika wanyonye kwa sponge
Wewe huku wasema tuchote mengine...jamaniiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23]unamsema rafiki yangu mnyaki..mtata jaman..sijaongea naye mwaka mzima..last yr alisema yupo bored anataka kuja kwangu the next day.. nikanwambia wait mshahara utoke ndo uje tule bata..mie nw nina hela ya mawazo..kumbe kanuna[emoji23][emoji23]kamute mpk leo..mwaka umeisha!mtata..hakai na mwanaume ht 3mths..
Huyu Madame B atakuwa Mnyakyusa ndo wanapenda kuachana na wanaume hata kwa kaugomvi kadogo.
Ni nini hivyo kutuonea lakini?
 
We nawe usichokoze wafu waliozikwa na kudra zao.
Pendo mchezo.
Unadhani kupendana ni kama matako, kila mtu anayo...
Natafuta mwanaume mpya sasa
Hakimu kwam kwambia talaka ipo tayari sasa ni kuvunja ndoa tuu naona sasa unashangilia. Alishakupigia simu kwamba anavunja ndoa. Hongera sana kwa kujitoa katika utumwa wa kukabwa mpaka penalty sasa ni uhuru kamili kutoka mkucha ya mkoloni. Ila utakuwa tajiri ukipata mgao wako hakimu ka kwambia utapata kiasi gani? Ili tuanze bajeti ya moto baridi moja moto chrismas.
 
Unachokunywa siku hizi kiache
Mimi mpole sana, naonewa hadi basi, siku "udume" wa kinyakyusa ukiamka, aisee utaenjoy na roho yako.. Gubu sina kabisa hehehehhe

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanyaki mie siwawez jaman kaaa mna gubuuuu... jaman mie sijawah ambiwa nina gubu...khaa zaid wananiambiaga ww mdada una roho nzuri..sema kumamamae zao marafiki wananitenda
 
Hahaha...aicee kuna watu wanajua kujilipua....pwaah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom