Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
😂😂😂najua espy atapondaaaMungu anatupenda wote hehehe

Sorry Mi niulizeKwako Mung Chris kipenzi cha moyo wangu na tiba ya maradhi yangu sugu.
Ni siku, wiki, na hatimaye imetimu miezi mitatu tangu tuanze safari ya penzi letu tamu na lisilochuja hapa duniani tulilolianzisha hapa Jamii forums tarehe kama ya leo.
Na pia nakumbuka jinsi tulivyosumbuana hapa Jamii Forums kule Pm kila siku.
Usijali....(ile ilikuwa mitego yangu kukupima kiasi cha upendo wangu kwako).
Hakika sikutaraji kama nitaweza kupata mwenza wa kuweza kunituliza na kufanya niweze kuwa kiumbe kipya katika safari hii ya penzi tamu.
Sijutii kukupenda
Sijutii uamuzi wangu
Sijutii kuchaguliwa na wewe
Sijutii vile binadamu wanasema nini kunihusu mimi au wewe.
Ila kwangu utabaki kuwa mpenzi na baba bora wa mtoto wetu mtarajiwa.
Natamani nimalize hii ng'we salama ili niweze kupakata katoto kako kalikochanganya damu ya Kisambaa na Kichaga.
Nakupenda leo
Nitakupenda kesho na
Nitakupenda milele daima.
Labda mmoja wetu afariki.
Kila mmoja ana mapungufu yake, hakuna aliyekamilika kwa 100%
Kama kuna sehemu naendelea kukukosea naomba uwe muwazi na uniambie ukweli.
Hatuhitaji kuishia njiani.
Asante kaka mkuu Maxence Melo kwa kuanzisha mtandao huu kwani kwa namna moja ama nyingine imechangia mimi kumpata mwenza wangu Mung Chris.
Pia natoa rai kwa wale tuliokuwa tunasumbuana Pm,
Nimetwaliwa....natawaliwa.
Nagharamiwa sasa hv.
Ila baba Mung Chris punguza wivu, wabantu wa mizigo ndio asili yetu.
Utagombana na wangapi baba?
Cha muhimu ni kutunza heshima ya penzi na pendo letu.
Ila nami itabidi nipunguze manjonjo....kha!!!!
Nakupenda sana.
Can't wait kuvaa ring...
Soon najua inakuja.
I love you, no matter how and what!!!
Madame B.
2018
kiukweli Mung simfahm ila kiukwel ni anaonekana mstaarabu kaka wa watu...umri sio ishu kbs.. sema madam hatakiw kuwa na men mpole ht kidg 😂😂😂😂Sorry Mi niulize
Mlijuana humu...sawa
Umri wa kila mmoja wenu umekaaje mmeofautiana miaka minngap na nan mkubwa?
Vipi wewe umeshaoa?Ohooooh! We komalia hivyohivyo watu wanaoana mkuu
Hukuwahi kuniambiaga maneno matamu hivi, inaelekea hukuwahi kunipendaga.Kwako Mung Chris kipenzi cha moyo wangu na tiba ya maradhi yangu sugu.
Ni siku, wiki, na hatimaye imetimu miezi mitatu tangu tuanze safari ya penzi letu tamu na lisilochuja hapa duniani tulilolianzisha hapa Jamii forums tarehe kama ya leo.
Na pia nakumbuka jinsi tulivyosumbuana hapa Jamii Forums kule Pm kila siku.
Usijali....(ile ilikuwa mitego yangu kukupima kiasi cha upendo wangu kwako).
Hakika sikutaraji kama nitaweza kupata mwenza wa kuweza kunituliza na kufanya niweze kuwa kiumbe kipya katika safari hii ya penzi tamu.
Sijutii kukupenda
Sijutii uamuzi wangu
Sijutii kuchaguliwa na wewe
Sijutii vile binadamu wanasema nini kunihusu mimi au wewe.
Ila kwangu utabaki kuwa mpenzi na baba bora wa mtoto wetu mtarajiwa.
Natamani nimalize hii ng'we salama ili niweze kupakata katoto kako kalikochanganya damu ya Kisambaa na Kichaga.
Nakupenda leo
Nitakupenda kesho na
Nitakupenda milele daima.
Labda mmoja wetu afariki.
Kila mmoja ana mapungufu yake, hakuna aliyekamilika kwa 100%
Kama kuna sehemu naendelea kukukosea naomba uwe muwazi na uniambie ukweli.
Hatuhitaji kuishia njiani.
Asante kaka mkuu Maxence Melo kwa kuanzisha mtandao huu kwani kwa namna moja ama nyingine imechangia mimi kumpata mwenza wangu Mung Chris.
Pia natoa rai kwa wale tuliokuwa tunasumbuana Pm,
Nimetwaliwa....natawaliwa.
Nagharamiwa sasa hv.
Ila baba Mung Chris punguza wivu, wabantu wa mizigo ndio asili yetu.
Utagombana na wangapi baba?
Cha muhimu ni kutunza heshima ya penzi na pendo letu.
Ila nami itabidi nipunguze manjonjo....kha!!!!
Nakupenda sana.
Can't wait kuvaa ring...
Soon najua inakuja.
I love you, no matter how and what!!!
Madame B.
2018
Mbona ujumbe mkali hivi madam bMie nilikuwa nakupenda sana....
Kubwa zaidi nililochukia, ni kitendo chako cha kudate na shoga angu.
Unajua kabisa yule rafiki yangu kutwa tunachat Jf na wasap, afu unamtoa Arusha ukajua sitapata taarifa.
Kwa taarifa yako sasa, aliniambia kila kitu na ndio maana siku ile unaonana nae pale bar ndani, nami nilikuja pale ulipokaa makusudi bila taarifa ukabaki na taharuki....nyau we[emoji250][emoji250][emoji250]
Mwanaume unapenda uchi kama pombe.
Mkeo kakuzalia watoto 2 wazuri sana [emoji65][emoji66] lakini mwanaume hutulii na mkeo, kutwa unadanga na wanawake wa nje...tutakupa UKIMWI ukampe mkeo..[emoji57][emoji57]
Na ndio maana tulikuchuna vizuri sana na ulichunika kisawasawa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila mahawara hawaachani abadani.
Kama utahitaji kupasha kiporo uje, tugawane magonjwa[emoji41][emoji41][emoji41]
Mpwa[emoji41]!!Mie nilikuwa nakupenda sana....

Hahahahahaha madam jamaniMie nilikuwa nakupenda sana....

Mpwa yote hii ni mapenzi tuMpwa[emoji41]!!
Hahahaha