From Madame B to Mung Chris...

From Madame B to Mung Chris...

Mie kiukweli mwanaume ambae alikuwa ananikosha na ambae nilikuwa nimemuweka moyoni kiukweli ni mpenzi Ben Saanane.
Yaani mapenzi yalikuwa moto sana....
Kisha akaja mbabe Shark huyu nae alikuwa ananipatia sana....ila hawa wengine ni kama royco tu...hata ikikosekana kwenye mboga, mboga italika tu
😂😂😂😂😂😂 shout out to@shark
 
hahahahaha madame nimesimama sehem naanguka mbav mm ...yaan ww mm sijui huwa nakuangaliaej[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!upo zaid ya real..ukiguswa tu ww ushalipuka[emoji23][emoji23][emoji23]yaan ww magonjwa ýya sonona mtapishana nayo msamvu round abt
Huyu Madame B atakuwa Mnyakyusa ndo wanapenda kuachana na wanaume hata kwa kaugomvi kadogo.
 
Nimeiweka kama food of thought...

Mbona umepaniki na kua defensive namna hii?

I told you,pay no mind....Jeez!
Unau-judje muandiko wangu kujua kama nimepanick au lah!!!
Wewe umekuwa mtabiri au?

Hahahahahha.....mnatuchosha.
Umeruka nyuzi zooooote ukaona quote yako uje kuitupia humu.
Haya nimekuelewa....rate ☆☆☆☆
 
Huyu Madame B atakuwa Mnyakyusa ndo wanapenda kuachana na wanaume hata kwa kaugomvi kadogo.
😂😂😂unamsema rafiki yangu mnyaki..mtata jaman..sijaongea naye mwaka mzima..last yr alisema yupo bored anataka kuja kwangu the next day.. nikanwambia wait mshahara utoke ndo uje tule bata..mie nw nina hela ya mawazo..kumbe kanuna😂😂kamute mpk leo..mwaka umeisha!mtata..hakai na mwanaume ht 3mths..
 
hahahahaha madame nimesimama sehem naanguka mbav mm ...yaan ww mm sijui huwa nakuangaliaej😂😂😂😂!upo zaid ya real..ukiguswa tu ww ushalipuka😂😂😂yaan ww magonjwa ýya sonona mtapishana nayo msamvu round abt
Hahahahahah....angalie usianguke.

Asa yeye hiyo quote anaitaka nani hapa?
Ahhhh mie sipendi kujichoshaga na vijineno vya sonona.
Angeweka huko kwenye nyuzi zingine wala nisingeona...ila kaweka hapa, ujue ana maana yake.
 
Hahahahha
Jamani mie wala sio Mnyakyusa.
Sio kaugomvi kadogo....mie napenda kuwa huru ndani na nje ya Jf babe
Wanaume tunaopenda kuwasikiliza wanawake tupo wachache, nanyi mkiwapata heshimuni ona unarudi kudanga tena
 
Unau-judje muandiko wangu kujua kama nimepanick au lah!!!
Wewe umekuwa mtabiri au?

Hahahahahha.....mnatuchosha.
Umeruka nyuzi zooooote ukaona quote yako uje kuitupia humu.
Haya nimekuelewa....rate ☆☆☆☆

Vipi dada?

Mbona una kitatange sana?

There is something you are hiding,yaani mtu kutoa quote mahali kama food of thought tu umechukulia serious namna hiyo?

Hiyo quote yaelekea ni applicable kwako sana ndio maana unajitutumua....Ingekua haina maana ungeipotezea..

Unajiamini na penzi lako,kwanini umekua worked out namna hii?

Unakua na pressure za Membe kama jiwe bana...Relaaaxxxxxx!

Enjoy your love bana!
 
😂😂😂unamsema rafiki yangu mnyaki..mtata jaman..sijaongea naye mwaka mzima..last yr alisema yupo bored anataka kuja kwangu the next day.. nikanwambia wait mshahara utoke ndo uje tule bata..mie nw nina hela ya mawazo..kumbe kanuna😂😂kamute mpk leo..mwaka umeisha!mtata..hakai na mwanaume ht 3mths..
Wanaume michosho tu samtaim.
Soon nitajiunga CHAPUTA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom