Sasa Madam B umeleta uzi hadharani na hakuna masharti ya jukwaa kikanuni kua haitakiwi akina Wyatt kuchangia...
Kungekua na sheria hiyo wala usingeona na comment ila ngoma ipo wazi kwa anyone..
Au walao ungeweka angalizo kwenye kichwa cha habari kabisa kua "Wyatt Dont Click This Thread",usingeniona...
Hakuna ugomvi wowote,ni wewe tu ulichukulia quote vibaya,sikua na ill intentions,niliweka tu itufanye tufikiri using other dimensions..
Hivi wewe ndie yule Madame alikua anaombaga mchango wa nauli kutoka sijui Mbeya to Arusha?
Was that'chu?