From Madame B to Mung Chris...

From Madame B to Mung Chris...

Miezi mitatu na mimba umeshabeba.... hongera
Nilimfahamu before Jf.
Alikuwa rafiki tu kama ulivyo wewe.
Akaingia ila hakujua Id yangu.
Baada ya kunifahamu ndipo akaeleza hisia zake juu yangu.
Na nilimzungusha sana mpaka tukaanza urafiki wa ndani na hatimaye upenzi.
So sidhani kama hilo lina tatizo.

Miezi 3 ya kuanza Mahusiano ila nyuma alikuwa rafiki tu.
Asante
 
wewe umezid ubahili na angalia sana itakukost.... toka juzi nakupa masomo ubongo mziiito!haya sasa warembo ndo km hawa wantwaliwa
Tatizo sio ubahili,tatizo hata hizo hela zenyewe sina😂😂😂😂😂...but somo ulilonipa liliniingia kisawasawa ngoja nitafute hela...lakini wakati mwingine hata nyie wenyewe hamueleweki mnataka nini😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom