Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Dah yani Mung Chris anafuga nyuki halafu hali asali!!!Hahahhhahah
Huyu hatumii.
Naweza kukupa tekniki kumbe ajae hataki.
Ila nitakuja kukufundisha kwa ajili ya akiba ya yeyote
Dah yani Mung Chris anafuga nyuki halafu hali asali!!!Hahahhhahah
Huyu hatumii.
Naweza kukupa tekniki kumbe ajae hataki.
Ila nitakuja kukufundisha kwa ajili ya akiba ya yeyote
Mashaallah...itakuwa heri sana madam!Usijali.
Mambo yataenda mazuri na wala hutasikia lolote baya na la kukweza juu yetu.
Asante tena na tena.
Naahidi kutimiza yote uliyosema.
Huwa napendaga kujua saikolojia yao hawa watu. Ila nashindwaga kuwa karibu nao. Kuna mmoja alipenda sana kuchart na mimi kipindi fulani ni dada wa rafiki yangu so ninashindwa kumuuliza wild qns kwasababu ya nature ya mahusiano yetu. Huwa napenda kujua their version of thinking on various issues. I am NOT saying I want a tom boy friend for now NO but l think hapo mbeleni I must, just curious to know things from them personallyMapenzi sio pesa, nilimaanisha umri.
Basi Ngoja nikupende mimi au unaogopa kupendwa na Tomboy?
Karibu sana.... uliza maswali yote nitakujibu... ila sio kwenye uzi wa watu.Huwa napendaga kujua saikolojia yao hawa watu. Ila nashindwaga kuwa karibu nao. Kuna mmoja alipenda sana kuchart na mimi kipindi fulani ni dada wa rafiki yangu so ninashindwa kumuuliza wield qns kwasababu ya nature ya mahusiano yetu. Huwa napenda kujua their version of thinking on various issues. I am saying I want a tomb boy friend for now l think hapo mbeleni I must just curious to know things from them personally
Ww ndio mweusi hivi.. Kama chungu vile.. Hahahaha... Joking
Nimependa gauni lako ila isiwe la kuazimaSi unajua naandaa mazingira.
Nitakuwa napotea na kuonekana kidogo.
Ila tupo pamoja