Basi ni jambo la kheri hili...Kakaangu handsome boy, real sio story.
We subiri niwaletee shemeji wa kichaga TA huko
Ujumbe umefika, tena kwa wakati.Msalimie sana mwambie arudi tumemmiss lol
We mtoto👀👀👀Sawa mjukuu wangu[emoji85][emoji85]
Ya wewe na huyo umsifiae hapa tuweke kumbukumbu kabisa.Ya mimba au ya nani?
Basi acha nijisogeze Penye Mema (PM)Hahahaaa!! Haki ya Kana tena.
Hivi mama Mtumishi upo half time nini? Mishale hii una like ka post kangu...??? Aaaah JF usiku mpaka raha.Kwa kweeliiii (in Joti's voice)