From Adv. Peter Kibatala

Tanzania Nchi Yetu Sote

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
505
852
From Adv. Peter Kibatala,

Greeetings Brethren.

I have the honour to announce that My Client, Jonas Afumwisye Mwangunga, who had been detained at the Central Police Station since his arrest on Friday 26th August 2022 at his Residence in Goba, Ubungo District, Dar es Salaam has been released on Police Bail today Wednesday 31st September 2022.

We had filed an Application of Harbeas Corpus (which is judicial tool for compelling authorities who unlawfully hold a person to either release them on Bail, or arraign them in Court per the law) and the same has been assigned to Hon. Mruma, Judge and was scheduled for Orders on 5th September 2022.

In the meantime; we will zealously and unrelentingly pursue Mr. Jonas' Appeal against the termination of employment, which We considers unjust, unlawful and unwarranted, in the Public Service Commission. The Appeal has been duly filed with the Commission in its Dodoma Headquarters, and served to TRC in its Dar es Salaam Headquarters, per dictations of Appelate Rules.

We will provide further details.

I may add; Mr. Jonas has a very sharp brain and is strong and steadfast and We are very proud to represent him.

Peter Kibatala, Dickson Matata, Deogratius Mahinyila and Hadija Aron, Advocates.
 
Next time mwambieni uyo kibatala misamiati ya kisheria atumie uko mahakamani na anapokuwa anaongea na wanasheria wake huo ushamba wa kutumia misamiati ya kisheria kwetu tunamuona mshamba tu asiyejua lugha aacha Mara moja
Nenda shule bado muda upo sio unakimbilia kulaumu,huna hata mpenzi aliyesoma akusaidie kutafsiri?

Lugha 2 rasmi za taifa la Tz
1.Kiswahili
2.English
 
From Adv. Peter Kibatala,

Greeetings Brethren.

I have the honour to announce that My Client, Jonas Afumwisye Mwangunga, who had been detained at the Central Police Station since his arrest on Friday 26th August 2022 at his Residence in Goba, Ubungo District, Dar es Salaam has been released on Police Bail today Wednesday 31st September 2022.

We had filed an Application of Harbeas Corpus (which is judicial tool for compelling authorities who unlawfully hold a person to either release them on Bail, or arraign them in Court per the law) and the same has been assigned to Hon. Mruma, Judge and was scheduled for Orders on 5th September 2022.

In the meantime; we will zealously and unrelentingly pursue Mr. Jonas' Appeal against the termination of employment, which We considers unjust, unlawful and unwarranted, in the Public Service Commission. The Appeal has been duly filed with the Commission in its Dodoma Headquarters, and served to TRC in its Dar es Salaam Headquarters, per dictations of Appelate Rules.

We will provide further details.

I may add; Mr. Jonas has a very sharp brain and is strong and steadfast and We are very proud to represent him.

Peter Kibatala, Dickson Matata, Deogratius Mahinyila and Hadija Aron, Advocates.
Ninayo heshima kubwa kutangaza kwamba Mteja wangu Jonas Afumwisye Mwangunga, aliyekuwa anashikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi tangu alipokamatwa Ijumaa, Agosti 26, 2022 katika Makazi yake Goba, Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, ameachiwa kwa dhamana ya Polisi leo. Jumatano Septemba 31, 2022.

Tulikuwa tumewasilisha Ombi la Harbeas Corpus (ambalo ni chombo cha mahakama kwa mamlaka zinazolazimisha ambazo kinyume cha sheria zinashikilia mtu kuwaachilia kwa Dhamana, au kufikishwa Mahakamani kwa mujibu wa sheria) na hiyohiyo imekabidhiwa kwa Mhe. Mruma, Jaji na ilipangwa kwa Maagizo tarehe 5 Septemba 2022.

Wakati huo huo; tutafuatilia kwa bidii na bila kukoma Rufaa ya Bw. Jonas dhidi ya kusitishwa kwa ajira, ambayo Tunaiona kuwa ni dhuluma, isiyo halali na isiyostahiliwa, katika Tume ya Utumishi wa Umma. Rufaa hiyo imewasilishwa kwa Tume katika Makao Makuu yake Dodoma, na kupelekwa TRC katika Makao Makuu yake Dar es Salaam, kwa mujibu wa Kanuni za Rufaa.

Tutatoa maelezo zaidi.

Naweza kuongeza; Bwana Jonas ana ubongo mkali sana na ana nguvu na thabiti na Tunajivunia sana kumwakilisha. Peter Kibatala, Dickson Matata, Deogratius Mahinyila na Hadija Aron, Mawakili.
 
Huyu si ndio yule mkurugenzi wa TRC aliye ponda tozo kwenye grupu la whatsapl akaishia kufukuzwa kazi? Kumbe kawekwa ndani tena?
 
From Adv. Peter Kibatala,

Greeetings Brethren.

I have the honour to announce that My Client, Jonas Afumwisye Mwangunga, who had been detained at the Central Police Station since his arrest on Friday 26th August 2022 at his Residence in Goba, Ubungo District, Dar es Salaam has been released on Police Bail today Wednesday 31st September 2022.

We had filed an Application of Harbeas Corpus (which is judicial tool for compelling authorities who unlawfully hold a person to either release them on Bail, or arraign them in Court per the law) and the same has been assigned to Hon. Mruma, Judge and was scheduled for Orders on 5th September 2022.

In the meantime; we will zealously and unrelentingly pursue Mr. Jonas' Appeal against the termination of employment, which We considers unjust, unlawful and unwarranted, in the Public Service Commission. The Appeal has been duly filed with the Commission in its Dodoma Headquarters, and served to TRC in its Dar es Salaam Headquarters, per dictations of Appelate Rules.

We will provide further details.

I may add; Mr. Jonas has a very sharp brain and is strong and steadfast and We are very proud to represent him.

Peter Kibatala, Dickson Matata, Deogratius Mahinyila and Hadija Aron, Advocates.
What were the grounds behind the retainment Of Jonas without bail?
 
Ninayo heshima kubwa kutangaza kwamba Mteja wangu Jonas Afumwisye Mwangunga, aliyekuwa anashikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi tangu alipokamatwa Ijumaa, Agosti 26, 2022 katika Makazi yake Goba, Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, ameachiwa kwa dhamana ya Polisi leo. Jumatano Septemba 31, 2022.

Tulikuwa tumewasilisha Ombi la Harbeas Corpus (ambalo ni chombo cha mahakama kwa mamlaka zinazolazimisha ambazo kinyume cha sheria zinashikilia mtu kuwaachilia kwa Dhamana, au kufikishwa Mahakamani kwa mujibu wa sheria) na hiyohiyo imekabidhiwa kwa Mhe. Mruma, Jaji na ilipangwa kwa Maagizo tarehe 5 Septemba 2022.

Wakati huo huo; tutafuatilia kwa bidii na bila kukoma Rufaa ya Bw. Jonas dhidi ya kusitishwa kwa ajira, ambayo Tunaiona kuwa ni dhuluma, isiyo halali na isiyostahiliwa, katika Tume ya Utumishi wa Umma. Rufaa hiyo imewasilishwa kwa Tume katika Makao Makuu yake Dodoma, na kupelekwa TRC katika Makao Makuu yake Dar es Salaam, kwa mujibu wa Kanuni za Rufaa.

Tutatoa maelezo zaidi.

Naweza kuongeza; Bwana Jonas ana ubongo mkali sana na ana nguvu na thabiti na Tunajivunia sana kumwakilisha. Peter Kibatala, Dickson Matata, Deogratius Mahinyila na Hadija Aron, Mawakili.
Aliahikiliwa kwa kosa gani,?

Na hv September ishafika au ni ninj,?
 
Kuna wakati huwa naona bora ningezaliwa zangu Moscow huko kwa jamaa yangu Putin.

Bongo michosho tu.
 
Nenda shule bado muda upo sio unakimbilia kulaumu,huna hata mpenzi aliyesoma akusaidie kutafsiri?

Lugha 2 rasmi za taifa la Tz
1.Kiswahili
2.English
Wewe ndio ujaenda shule Sasa tulioenda shule tumemwambia ukweli huwezi mzungumzia lugha ya kitaalamu mama muuza vitumbua kisa lugha, ebu google what is Register
Nenda shule bado muda upo sio unakimbilia kulaumu,huna hata mpenzi aliyesoma akusaidie kutafsiri?

Lugha 2 rasmi za taifa la

Nenda shule bado muda upo sio unakimbilia kulaumu,huna hata mpenzi aliyesoma akusaidie kutafsiri?

Lugha 2 rasmi za taifa la Tz
1.Kiswahili
2.English
Tulioenda shule ndio tunamwambia huwezi kwenda kwa mama lishe ukatumia lugha ya kidaktari kisa lugha unajua Register wewe ebu google hapo usome upate marifa

Uyo japo anaongea mambo ya kisheria lakini je hiyo tarifa anampa nani mwanasheria mwenzie au umma ambo hauko familia na kada yake next time ukiona vitu usidandie dandie unazani tumeogopa kingereza
 
Next time mwambieni uyo Kibatala misamiati ya kisheria atumie uko mahakamani na anapokuwa anaongea na wanasheria wake huo ushamba wa kutumia misamiati ya kisheria kwetu tunamuona mshamba tu asiyejua lugha aacha Mara moja

Acha hiyo wewe!
Mtu mzima ovyooooooo
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom