Fritym east africa based social network

Fritym east africa based social network

shape shifter

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
98
Reaction score
15
Wana JF leo tumerelease version ya kwanza ya social networking yetu inayoitwa FRITYM ambayo imetengenezwa na sisi vijana wa kitanzania,tumetengeneza FRITYM kurahisisha usambazaji wa taarifa mbalimbali zikiwemo za kiuchumi, kijamii, kisiasa na nyinginezo. Imani yangu nitapata mawazo mazuri kutoka kwenu coz hili ni jukwaa la great thinkers so tutapata great ideas.Nakaribisha mawazo, maoni na maswali.
link
http://fritym.com
 
Safi sana, kazi nzuri nimeipitia, ila mnatakiwa kufanya marekibisho madogomadogo, mfano kuna baadhi ya link hazifunguki mfano mzuri ulionikumba mimi binafsi ni kwenye home page sehemu ya welcome nadhani kuna link ya "meet new people" lakini haifungui, pia kitu kingine fanyeni haraka kuleta mobile version kwa sababu mambo ya kuperuzi kwa sasa asilimia kubwa yamehamia kwenye simu
 
Ahsante kwa mawazo tutayafanyia kazi, mobile ndo tunaifanyia kazi
 
naombeni mniinclude kwenye section ya Notifications del.......... PM ME PLS
 
Back
Top Bottom