shape shifter
Member
- Mar 20, 2013
- 98
- 15
- Thread starter
- #21
Worry not mkuu you will get that sectionnaombeni mniinclude kwenye section ya Notifications del.......... PM ME PLS
Worry not mkuu you will get that sectionnaombeni mniinclude kwenye section ya Notifications del.......... PM ME PLS
Nimesita kujiunga kwa sasa nasubiri watu wawe wengi,,, si unajua Bandwagon effect!
Try it and give out your reviewsTunakuwa wawili... Hebu tungoje kwanza
ok mawazo yenu ni ya muhimu sanaMkuu kuwa nasubira watakuja tu wataalamu wa computer
Wazo zuri HongeraWana JF leo tumerelease version ya kwanza ya social networking yetu inayoitwa FRITYM ambayo imetengenezwa na sisi vijana wa kitanzania,tumetengeneza FRITYM kurahisisha usambazaji wa taarifa mbalimbali zikiwemo za kiuchumi, kijamii, kisiasa na nyinginezo. Imani yangu nitapata mawazo mazuri kutoka kwenu coz hili ni jukwaa la great thinkers so tutapata great ideas.Nakaribisha mawazo, maoni na maswali.
link http://fritym.com
Thankx mkuuWazo zuri Hongera
Karibu sanahongereni, mimi nimejiunga tayari.
Tip: Kwanini watu ajiunge nayo? Zipo SN nyingi sana, kwa nini yenu? Nini cha ziada?
Ukifanyia kazi hili utasogea sana!
1. Its local based
2. Its hybrid meaning that not only you can chat and socialize with your friends but also you can buy and sell things directly via this platform,
We simplfy the recruitment process by bringing closer employer and employees
3.We did not end there we simplify the process of event organisation buy providing a platform where our users can organize events, so they could easly know whats going on around them
4.To even go further we create a business directory where we simplify the work of investors and business people on where they should get what they want or who to do business with
5.Their is a built in Portal that will provide various information about East Africa
All this and so much more when you combine them together you end up with a high end hybrid local based social network project that is meticulously designed and engineered where each part of the design have a contribution that directly benefited the user