Wataalamu wa mambo ya digital.
Masalaam kwenu sana na katika mambo haya ya digital kila siku msaada unahitajika,maana hakuna aliyezaliwa akawa anajua,lazima alipewa ufahamu.
Sasa ndugu zangu nina mpango wa kununua offset dish ya 120cm kwa 135cm na high gain ku band ya dvb-s2 INVERTO BLACK ULTRA,kwa ajili ya kupata nilesat 102,201,na eutelsat 8'W.
Sasa swali lenyewe ni hivi,hizi beam za hizo satellites(MIDDLE EAST,MENA,NW AFRICA,KU NA EAST AFRICA &MIDDLE EAST),je ntazipata beam zote hizo au nitapata baadhi tu kati ya hizo? na je ni zipi hizo ntakazopata?
Akhsante wataalam.