Friji, kabati na sofa

Friji, kabati na sofa

Dah!! Sina hakika kama k ina uhusiano na elfu. Lakini kama yuko serious na anachokifsnya alipaswa kuwa bayana zaidi maana unaweza kudhani anamaanisha *kwacha* yaani pesa ya zambia au malawi.
 
Kaka bora wewe.. mi nilidhani anauza K nyingi, nilitaka nije na wana tumuungishe, huku Kimboka tushapachoka.
 
Back
Top Bottom