Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Hahahahaaaa, mbavu zangu mieee!!!Duuh hakika umefaulu kwa kiwango Cha juu,nadhani hiyo want to movie from dar ndio movie Kali kuliko zote kutokea
Hahahahaaaa, mbavu zangu mieee!!!Duuh hakika umefaulu kwa kiwango Cha juu,nadhani hiyo want to movie from dar ndio movie Kali kuliko zote kutokea
Bei gani kodiKuna room kama unaitaka asee
Vyuma vimekaza.Sababu ya kuuza?
Nahisi vyuma vimekazaSababu ya kuuza?
Mkuu elezea kwa undani kidogo unapatikana wapi?? 250/= itapendezaBei friji 290,000
Godoro 65,000 (5×6)
Meza ya tv 200,000
Linafanya kazi vizuri
Simu 0688406763
![]()
![]()
![]()
Wewe nae usikariri maisha kwani ukibadilisha lazima uuze vitu au una usukuma pembeni.Msikariri maisha nimeweka 6×6 na nabadili vitu pia