Punguza bei ya kabàti mkuu tufanye biashara.Lipo asee
Duuh hakika umefaulu kwa kiwango Cha juu,nadhani hiyo want to movie from dar ndio movie Kali kuliko zote kutokeaDah ulikuwa unasomea nini?
"finishup my studies want to movie from dar "
Hiki ndicho mnakaliaga majungu majungu tuu inamaana nyie hamkoseagi kuandika acheni mambo yasiyo na msingi ok wewe nimekosea kuandika imekuuma nini au hujaelewa tangazoDuuh hakika umefaulu kwa kiwango Cha juu,nadhani hiyo want to movie from dar ndio movie Kali kuliko zote kutokea
K inasimama kwa prefix ya kilo, kwa maana 1000, sasa tunaposema 70k =70,00070k. 280k au 170k una maana gani? Yaani hiyo k ni nini?
Hiki ndicho mnakaliaga majungu majungu tuu inamaana nyie hamkoseagi kuandika acheni mambo yasiyo na msingi ok wewe nimekosea kuandika imekuuma nini au hujaelewa tangazo